Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Friday, May 24, 2013

CHEKI MCHUMBA WA NEY WA MITEGO A.K.A MAMA KIJACHO ALIVYO MREMBO AKIWA PENY WA DIAMOND PLATNUM DAR LIVEclip_image001[16]
clip_image001
Bila shaka unafahamu kuwa Nay wa Mitego ni baba mtarajiwa. Mara nyingi Nay amekuwa akiweka picha ya mpenzi wake anayetarajia kumzalia mtoto hivi karibuni lakini hujawahi kuona picha yake inayoonekana vizuri zaidi. Tazama picha hizi za shemeji/wifi yetu zilizochukuliwa kwenye show ya Nay na Diamond, Dar Live weekend iliyopita.
clip_image001[6]
Diamond akisukuma kichwa cha Ney na mchumba wake ili wabusiane
clip_image001[8]
clip_image001[10]
Peny na Mchumba wake Ney 
clip_image001[12]
clip_image001[14]

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...