Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Saturday, May 11, 2013

MATUKIO KATIKA PICHA KUTOKA BUNGENI MJINI DODOMA


 Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Hussein Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na  washiriki wa mkutano mkuu wa mwaka  wa  waganga wakuu wa mikoa , wilaya na baadhi wa wakurungezi wa hospitali za rufaa na taasisi za wizara hiyo wakiwemo wakurugnezi wa asasi za kiraia na wadau wa maendeleo.
 Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenella Mukangara akibadilishana  mawazo na  Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais , Mahusiano na Uratibu Uratibu ,Stephen   Wasira katika viwanja vya Bunge mjini Dodoma leo.
 Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Wanawake, Sophia Simba akipongezwa na baadhi wabunge mara baada ya kuwasilisha hotuba yake ya Makadrio ya Matumizi ya Fedha kwa mwaka 2013/2014.
 Picha ya pamoja.
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Wanawake, Sophia Simba   akifurahia jambo na Naibu wake  mara baada ya kuwasilisha hotuba yake ya Makadrio ya Matumizi ya Fedha kwa wake 2013/2014. Picha zote na Magreth Kinabo – Maelezo

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...