Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Thursday, May 9, 2013

WAREMBO WAJIFUA KUWANIA TAJI LA MISS KIBAHA MEI 17 KIBAHA KONTENA Mwalimu wa shoo ya pamoja ya warembo wanaowania kushiriki kinyang'anyiro cha kumsaka Miss Kibaha 2013, Bob Rich, akiwafua warembo hao wakati wa mazoezi yao yanayoendelea katika Ukumbi wa Vijana Kinondoni. Shindano hilo linatarajia kufanyika Mei 17 katika Ukumbi wa Kontena Kibaha.
 Warembo hao wakiwa katika picha ya pamoja yapozi wakati wa mazoezi yao.
Bob Rich, akiendelea kuwanoa warembo hao katika Ukumbi wa Vijana kinondnoni.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...