Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Wednesday, May 22, 2013

WATUMISHI WA MAHAKAMA KUU KANDA YA IRINGA WATEMBELEA BWAWA LA MTERA IRINGA


Watenda kazi katika mahakama kuu kanda  ya  Iringa  wakitazama samaki  walioanikwa kando kando ya bwawa la Mtera  eneo la  wavuvi mchana wa  leo
Kaimu msajili  wa mahakama kuu kanda  ya Iringa Mhe. Godfrey Isaya  (kushoto) akiwa na  watenda kazi  wengine  wa mahakama hiyo kando kando ya  bwawa la Mtera  Iringa  leo baada ya  kutembelea  eneo  hilo mara  baada ya  Rais Jakaya  Kikwete  kumaliza  kuweka  jiwe la msingi katika ujenzi wa barabara  ya Iringa - Dodoma
Jaji kiongozi wa mahakama kuu kanda  ya Iringa Mh. akiwa na kaimu msajili wa mahakama hiyo mhe. Rehema Mkuye  Godfrey Isaya wakitazama

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...