Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Monday, July 1, 2013

PILIKAPILIKA ZA USAFI DAR NA UJIO WA OBAMA


 Wafanyakazi wa Manispaa ya Kinondoni, wakiwa katika pilikapilika  za kufanya usafi jana katika taa za kuongozea magari Ubungo, ikiwa ni maandalizi ya ujio wa Rais wa Marekani, Barrack Obama anayetarajia kuwasili leo nchini kwa ziara ya siku mbili, ambapo pia atatembelea mitambo ya umeme ya Symbion iliyopo Ubungo, Dar es Salaam.

Wafanyakazi wa Manispaa ya Kinondoni, wakifanya usafi leo katika taa za kuongozea magari Ubungo, ikiwa ni maandalizi ya ujio wa Rais wa Marekani, Barrack Obama anayetarajia kuwasili leo nchini kwa ziara ya siku mbili, ambapo pia atatembelea mitambo ya umeme ya Symbion iliyopo Ubungo, Dar es Salaam.PICHA NA KAMANDA RICHARD MWAIKENDA

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...