Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Wednesday, April 18, 2012

MAWAKALA WA VYUO KUTOKA NJE GLOBAL EDUCATION LINK LTD CHAJIVUNIA UBORA WA UTOAJA WA ELIMU YA JUU

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal kulia akimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa Uwakala wa vyuo kutoka nje Global Education Link. Bw. Abdulmalik Mollel wakati alipotembelea banda la chuo hicho kwenye maonesho ya taaluma ya vyuo vikuu vya elimu ya juu katikati ni Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Dkt. Shukulu Kawabwa na kushoto ni Rahul Gupta Mwakilishi wa chuo cha MMu.Picha na Mpiga picha Wetu
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal kulia akimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wachuo cha Global Education Link. Bw. Abdulmalik Mollel wakati alipotembelea banda la chuo hicho kwenye maonesho ya taaluma ya vyuo vikuu vya elimu ya juu katikati ni Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Dkt. Shukulu Kawabwa.Picha na Mpiga picha Wetu
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal kulia akimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa Uwakala wa vyuo kutoka nje cha Global Education Link. Bw. Abdulmalik Mollel wakati alipotembelea banda la chuo hicho kwenye maonesho ya taaluma ya vyuo vikuu vya elimu ya juu katikati ni Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Dkt. Shukulu Kawabwa.Picha na Mpiga picha Wetu

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...