Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Sunday, April 22, 2012

MWANAMZIKI MKONGWE ADOFU MBINGA AIBUKIA WK SOUND

 Waimbaji wa bend ya Wazee wa Kujiamini Sound wakiwajibika wakati wa Onesho lao lililofanyika katika ukumbi wa Pille Bar uliopo Temeke jijini Dar es salaam kutoka kushoto ni Ester Yamba kulia ni Shamira Odema.Picha na www.burudan.blogspot.com
 Wapiga Magita wa bendi ya W.K Sound Band wakiwajibika wakati wa onesho lao lililofanyika katika ukumbi wa Pille Bar Dar es salaam jana kushoto ni Mpiga Bess. Silas William na mpiga Ridhim. Adofu Mbinga Picha na www.burudan.blogspot.com

You might also like:

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...