Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Thursday, April 26, 2012

FATMA 'MCHARUKO' wa JAHAZI kurudi tena Stejini baada ya matibabu!Fatma 'Mcharuko' akipagawisha mashabiki wa Taarab
 Mwimbaji Chipukizi wa Jahazi Mordern Taarab anayefanya vizuri ktk muziki wa Taarab Fatma Mahmoud 'Mcharuko' anatarajiwa kurudi jukwaani tena na kuwapa ile burudani wadau wameikosa kwa muda mrefu takribani mwezi sasa baada ya kupumzishwa kutokana na matatizo ya kuanguka anguka mara kwa mara

Mama wa Mcharuko alirudishwa kwao Zanzibar kwa matibabu tangu tarehe 23 mwezi March na kwa mujibu wa Mkurugenzi Fatma anaendelea vizuri sasa na hivi karibuni anatarajiwa kurudi kundini kuliendeleza libeneke.....
Fatma Kassim akak 'Mcharuko' kwa sasa anatamba sana na kibao chake cha "Mtaniona hivi hivi" na awali aliimba kile cha "Mfa Maji"
Wadau tumuombee apone haraka!

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...