Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Sunday, April 15, 2012

HONGERA SAUDA MWILIMA NA KAULI JUMA "BEST", KILA LAKHERI KTK MAISHA YA NDOA


Mtangazazi wa Star TV Sauda Mwilima na mumewe KAuli Juma 'Best' baada ya kufunga ndoa jana katika ukumbi wa Catch uliopo Mnazi mmoja jijini Dar es Salaam. Baadaye kulifuatiwa na sherehe ktk ukumbi wa Msasani Beach

Mdau, Penny, Dida na mama Penny

Penny, Sinta na Sakina Lyoka


Maharusi wakiingia ktk ukumbi wa Msasani Beach kwa sherehe ya Harusi yao

Ukiondoa Bestman na Matron, pia Maharusi walisimamiwa au walipambwa na vijana wa4 watanashati mjini wanaume na wanawake kutoka kushoto Martin, Diamond, Ommy Dimpoz na mwingine mwisho kulia

Sinta akisalimiana na MC wa harusi hiyo Steve Nyerere

1 comment:

  1. hongera saida
    ila uislamu gani na mkorogo harafu hiko kiguo ulichokivaa kwanye ukumbi ndio kumtega baba mkwe au unaenda na wakati.

    ReplyDelete

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...