Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Sunday, April 15, 2012

Issa Mussa 'Cloud' atoka na SAMANTHA
Na Mwandishi Wetu

MSANII Mkongwe katika fani ya sanaa ya maigizi Issa Mussa 'Cloud' ameibuka na filamu mpya itakayokwenda kwa jina la Samantha.

Akizungumza na safu hii msanii huyo alisema filamu hiyo ya aina yake inayoeleze mambo ya familia katika jamii inayotuzunguka ambapo matokeo mabaya yaliyomkuta familia ya Bwana Suwedi yamempelekea mshituko mkubwa kwa jamaa,majirani na Jamii yote kwa ujumla Lakini ni nini hasa chanzo cha maafa hayo na ni nini alitekeleza unyama huo

Fatilia katika filamu hiyo aliowashirikisha waingiozaji Elizabeth Swinny, Suleimani Said, Mariam Ismail na wengine wengi katika filamu hiyo itakayosambazwa na Kampuni ya Steps ya jijini Dar es salaam

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...