Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Sunday, April 15, 2012

Hissani Muya atoka na filamu ya Gongolamboto Usiku wa hekaheka


Na Mwandishi Wetu

MSANII Wa Filamu NChini Hissani Muya ametoka na filamu yenye msisimko wa kweri iliyohusisha mlipuko wa mabomu ya Gongolamboto Usiku wa hekaheka ndio jina la filamu hiyo akizungumzia kuusu filamu hiyo Muya alisema filamu hiyo yenye huondo wa aina yake si ya kukosa kwa kuwa kuna kila kitu cha kufandisha

Mimi sio mtu wa kukurupuka ndio mana kabla sijatoa kitu nakaa na kujiuliza nitoke vipi filamu hiyo yenye ujumbe madhubuti kwa watanzania ni nzuri na si yakukosa

Aliongeza kwa kusema filamu hiyo kwa sasa ipo madukani na inasambazwa na Kampuni ya Steps Entatainment ya jijini Dar es salaam

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...