Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Wednesday, April 18, 2012

Kesho (19 April 2012) ChingaOne inatimiza mwaka mmoja!http://chingaone.blogspot.com/Katika maadhimisho ya mwaka mmoja toka chingaone irushe habari yake ya kwanza mnamo tarehe 19.04.2011 tunayo furaha kujumuika na marafiki na kufurahia mafanikio haya! Nachukua nafasi hii kuwakarikisha Friends of chingaone na wadau wote katika kuhitimisha mafanikio haya ya mwaka mmoja! kuanzia leo hadi kesho kutwa tutapenda kupokea picha mbili za mtu yoyote inayoonyesha enzi za utoto wake na alivyo sasa zikiwa sambamba na habari fupi inayotoa maelezo kuhusu picha hizo na kuzirusha kama njia mojawapo ya kufurahia siku hiyo pamoja!


"UWEPO WANGU NI KWA AJILI YENU"

http://chingaone.blogspot.com

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...