Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Thursday, April 19, 2012

MAKAMU WA RAIS AFUNGUA MKUTANO WA 4 WA MWAKA WA WANACHAMA WA MFUKO WA AKIBA YA WAFANYAKAZIMakamu wa Rasi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisoma hotuba yake wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa nne wa Mwaka wa Wanachama wa Mfuko wa Wafanyakazi Serikalini, ulioanza leo kweye Ukumbi wa Hoteli ya Gold Grest, jijini Mwanza.
Baadhi ya wadau wa Mifuko ya Akiba wakisikiliza kwa makini Hotuba ya Makamu wa Rais Dkt. Bilal, wakati wa ufunguzi wa mkutano huo leo.
Baadhi ya Viongozi na wadau wa Mifuko ya Akiba wakisikiliza kwa makini Hotuba ya Makamu wa Rais Dkt. Bilal, wakati wa ufunguzi wa mkutano huo leo.
Baadhi ya Viongozi na wadau wa Mifuko ya Akiba wakisikiliza kwa makini Hotuba ya Makamu wa Rais Dkt. Bilal, wakati wa ufunguzi wa mkutano huo leo.
Wadau wa Mifuko ya Akiba wakisikiliza kwa makini Hotuba ya Makamu wa Rais Dkt. Bilal, wakati wa ufunguzi wa mkutano huo leo.
Mmoja wa viongozi wa ngazi za juu wa mfuko wa GEPF, akizungumza kuhusu mafanikio ya mfuko huo, wakati wa ufunguzi huo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muunganowa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi zawadi Mwanachama wa Mfuko wa GEPF, Omary Mataka, ambaye ni Dereva Tax wa jijini Dar es Salaam, aliyechangia binafsi kuweka akiba katika mfuko huo, wakati Makamu alipokuwa akifungua Mkutano Mkuu wa nne wa Mwaka wa Wanachama wa Mfuko wa Akiba ya
Wafanyakazi Serikalini, katika Ukumbi wa Hoteli ya Gold Grest, jijini Mwanza, leo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muunganowa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi zawadi Mwanachama wa Mfuko wa GEPF, Andrew Maziku, aliyefanya vizuri katika kuwekeza akiba katika mfuko huo, wakati Makamu alipokuwa akifungua Mkutano Mkuu wa nne wa Mwaka wa Wanachama wa Mfuko wa Akiba ya Wafanyakazi Serikalini, katika Ukumbi wa Hoteli ya Gold Grest, jijini Mwanza, leo
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, (katikati) akikata utepe kuzindua mpango wa Wanachama wa Mfuko wa GEPF, kuchangia na kuweka akiba zao kupitia huduma ya Airtel Money, wakati Makamu alikuwa akifungua Mkutano Mkuu wa Nne wa Mwaka wa Wanachama wa Mfuko wa Akiba ya Wafanyakazi Serikalini, jijini
Mwanza leo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja ya kumbukumbu na Viongozi, wafanyakazi na wadau wa Mifuko ya Jamii baada ya kufungua Mkutano Mkuu wa Nne wa Mwaka wa Wanachama wa Mfuko wa Akiba ya Wafanyakazi Serikalini, jijini Mwanza.
Makamu wa Rais Dkt. Bilal, akiagana na baadhi ya wadau wa Mifuko ya Akiba baada ya ufunguzi rasmi wa mkutano huo.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...