Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Tuesday, April 24, 2012

Rais wa Zanzibar apiga picha kitambulisho cha Mtanzania


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.
Ali Mohamed Shein,na Mkewe Mama Mwanamwema Shein,wakiwa katika ukumbi
wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi kushiriki katika zoezi ya upigaji wa
picha za vitambulisho vya Taifa,hapo jana sambamba  na utiaji saini
fomu maalum na kuweka  alama za vidole,ikiwa ni utaratibu  wa
ukamilishaji wa zoezi hilo,(aliyesimama) Mkurugenzi wa Vitambulisho
vya Taifa Zanzibar Bw,Vuai Mussa Suleiman.  [Picha na Ramadhan
Othman,Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.
Ali Mohamed Shein,(katikati)  akiweka  alama za vidole,baada ya kupiga
picha za vitambulisho vya Taifa,sambamba utiaji saini fomu za
ukamilishaji wa zoezi hilo,zoezi hilo lilifanyika jana katika ukumbi
wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Mnazi mmoja Mjini Unguja,(kushoto)
Mkurugenzi wa Vitambulisho vya Taifa Zanzibar Bw,Vuai Mussa
Suleiman,(kulia) Mathayo Msungu,NIDA.  [Picha na Ramadhan
Othman,Ikulu.]

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...