Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Friday, April 27, 2012

NANI KUIBUKA MBABE KESHO PTA CHEKA AKIWA NA WAPAMBE WAKE
 MADA MAUGO NA CHEKA WAKINYOOSHWA MIKONO JUU NA PROMOTA
 PROMOTA AKIWA NA MABONDIA HAO
Bondia Mada Maugo akipima uzito kwa ajili ya mpambano wake wa ubingwa wa IBF na Francis Cheka kushoto mpambano utakaofanyika katika ukumbi wa PTA Sabasaba kesho na mshindi atanyakua zawadi ya gari.picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...