Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Thursday, April 26, 2012

TANGAZO TANGAZO

  1. KWA MAITAJI YA DVD MBALIMBALI ZA MPENDWA WETU kanumba thegrea WASILIANA NASI KWA SIMU 0714855858,+255 784 470354,+255 762 419704

AU FIKA MWENYEWE MTAA WA MSIMBAZI NA MASASI DAR ES SALAAM KARIBU KABISA NA KANISA LA KKKT AU ULIZA OFISI ZA D'J MARKETING AND PROMOTION UPATE DVD TOFAUTI TOFAUTI ZA MPENDWA WETU
 TOKA KAMPUNI YA STEPSSTEVIN KANUMBA YUPO NJIANI KUTOKA NA NDOA YANGU
OMARI MKALI NA STARA TOMAS NAWO KUTOA DVD YAO
MARIDADI


KATIKA kuakikisha anafanya vizuri kwenye soko la filam nchini msanii Nice MOhamed'Mtunisi' yuko mbioni kutoka na filamu mpya itwayo Clinic Love ambapo ni mara yake ya kwanza kucheza filamu hiyo ya kimapenzi

katika filamu hiyo inaonekana mapenzi kuchukua chati zai uku ukiacha taaluma kando hususani masomo na maswala mengine mengi waswahili wanasema 'ulimbukeni wa mapenzi' hili ndilo litakalodhiilishwa katika filamu hiyo moja kwa moja

washiliki wa kuu katika filamu hiyo ni Nice, Mohamedi, Rose Ndauka, Jackline Wolper na wengine wengi filamu hiyo itakayosambazwa na kampuni ya Steps Entetiment itakuwa madukani mwezi ujao

MSANII Vicent KIgosi 'Ray' ameibuka kivingine katika filamu mpya ya The Shell filamu hiyo ya kutisha alioshilikisha wasanii nguli wa tansinia hiyo ipo mbioni kukamilika ambapo itakua ikisambazwa na Kampuni ya Steps Entantainement ya jijini Dar es salaam

Akizungumzia filam hiyo Ray amesema filamu hiyo itakayokuwa ya kutisha itamweka tofauti kabisa katika filamu zingine zilizozoelekaBig daddy

Big daddy

Because of you

Because of you

Devils kingdom

Devils kingdom

moses

moses
:
No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...