Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Sunday, April 29, 2012

KAIMU MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM AZUNGUMZIA USAFI JIJINIKaimu mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Bi. Mwamtum Mahiza akiongea na
waandishi wa habari jana Ofisini kwake jijini Dar es salaam kuhusu hali
ya usafi katika jiji la Dar es salaam ambayo imekuwa hairidhishi kwa
muda mrefu hali hiyo imesababishwa na wananchi kutozingatia kanuni
sheria na taratibu za afya na usafi wa mazingira.

(PICHA ZOTE NA PHILEMON SOLOMON WA FULLSHANGWE).

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...