Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Thursday, September 18, 2014

FREEMAN MBOWE ARIPOTI MAKAO MAKUU YA JESHI LA POLISI KWA MAHOJIANO LEO


Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA),Freeman Mbowe, akiwasili kwenye ofisi za Makao makuu ya Jeshi la Polisi nchini, leo asubuhi kwa ajili ya kuhojiwa kuhusu kauli aliyoitoa kwenye Mkutano Mkuu wa chama hicho hivi katibuni, ya kuwa watafanya maandamano nchini nzima bila kikomo.
 Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA),John Mnyika akizungumza na waandishi wa habari wakati walipowasili eneo la makao makuu ya Jeshi la Polisi.
 Makamu Mwenyekiti wa Chadema,Prof. Abdallah Safari na Wakili wa Chama,Wakili Mabele Marando wakiwasili Makao Makuu wa Jeshi la Polisi mapema leo.
 Baadhi ya Wachama na Wafuasi wa Chadema wakishangilia wakati Mwenyekiti wao akiwasili kwenye Makao Makuu ya Jeshi la Palisi leo.

Kamishna wa Polisi,CP Paul Chagonja akitoa akiwataka wanachana na wafuasi wa Chadema kuondoka kwenye eneo hilo kwani hakuna sababu ya kufanya fujo.
 Ulinzi mlali katika eneo hilo. Picha na Othman Michuzi.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...