Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Friday, September 5, 2014

MABONDIA WATAMBIANA KUZIDUNDA SEPTEMBER 27 FRIENDS CORNER MANZESE


Bondia Juma Fundi na Issa Omari wakitunisha misuli baada ya makubariano yakuzipiga kwa mara ya pili siku ya septemba 27 katika ukumbi wa

friends corner hotel manzese Dar es salaam Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com


friends corner hotel manzese Dar es salaam Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com


Bondia Juma Fundi na Issa Omari wakitunishiana misuli baada ya makubariano yakuzipiga kwa ajili ya kuzipiga siku ya septemba 27 katika ukumbi wa

friends corner hotel manzese Dar es salaam Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

 Na Mwandishi Wetu


MABONDIA Sadiki Momba na Adamu ngange nusura wazitwange kavu kavu walivyokutanishwa kwa mara ya kwanza kutangaza mpambano wao mbele ya waandishi wa habari Dar es salaam jana 


mabondia hawo watakaozichapa 
septemba 27 katika ukumbi wa

friends corner hotel manzese Dar es salaam

wakisindikiza mpambano wa bondia Mohamed Matumla na Nassibu Ramadhani mabondia hawo walitambiana kila mmoja akidai yeye ni zaidi ya mwenzie katika masumbwi na hata sasa wanaweza kupigana kwa kuwa kila mmoja anadai yupo fiti wakati wowote hata hivyo wanasubili siku ya mpambano huo

 

mbali na mpambano huo kutakuwa na mpambano mwingine kati ya Juma Fundi na  Issa Omari nawo walitambiana na kuaidi kucheza mchezo mzuri


mbali na michezo hiyo pia siku hiyo kutakuwa na mpambano wa masumbwi ya wanawake ambapo mabondia Lulu Kayage atavaana na Fatuma Yazidu mpambano wa raundi nne

siku hiyo pia kutakuwa zikiuzwa DVD mpya za masumbwi ambazo zinaonesha mafunzo mbalimbali ya mchezo wa ngumi yanavyoanza hatua kwa hatua

mpaka kujua kitu kamili katika mchezo huo pia kunakuwa na mapambano ya mabondia mabigwa wa dunia wa mchezo huo kama Floyd Maywether, Manny Paquaio,mike Tyson, Mohamed Alli pamoja na mabambano ya ngumi ya ndani

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...