Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Saturday, September 6, 2014

JULIAUS KISALAWE AMPIGA BONANS SAMWELI KWA POINTI KATIKA UKUMBI WA NDAME GYM


 Bondia bonans Samweli kushoto akimrushia konde Julius Kisalawe wakati wa mpambano wao uliofanyika katika GYM ya Ndame Dar es salaam jana Kisalawe alishinda kwa point mchezo huo Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Bondia Julius Kisalawe kushoto akimtupia konde Bonans Samweli wakati wa mpambano wao uliofanyika katika ukumbi wa Ndame GYM Manzese Dar es salaam jana Kisalawe alishinda kwa point mpambano huo picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com


 Bondia Julius Kisalawe akinyooshwa mkono juu kuashilia ushindi wake
 Mabondia Ally Yusuph kushoto akimtupia konde Sadam Manjepa bila mafanikio wakati wa mpambano wao uliofanyika jana katika GYM ya Ndame manzese Dar es salaam Yusuph alishinda kwa point Picha na www.superdboxingcoach.blogspotr.com
Mabondia Tasha Mjuaji kushoto akipambana na Hamisi Kicheba wakati wa mpambano wao uliofanyika katika GYM ya Ndame Manzese Midizini Dar es salaam jana Mjuaji alishinda kwa K,o ya raundi ya pili picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...