Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Thursday, September 4, 2014

MASHINDANO YA NGUMI 10 MKOA WA DAR ES SALAAM KUENDEREA JUMAMOSI HII


MASHINDANO ya ngumi za ridhaa ya kumi bora inayoshirikisha vilabu mbalimbali nchini itaenderea tena jumamosi hii katika ukumbi wa Manyara park ccm tandale baada ya kuzinduliwa rasmi wiki iliyopita

mashindano haya kwa ajili ya kupa
nga viwango vya mabondia kumi bora katika kila uzito yamekuwa chachu kwa vijana wengi kujitokeza na kutaka nafasi ya kuonesha uwezo katika mashindano hayo ili mladi na yeyey ajue yupo katika nafasi gani katika kumi bora ya mkoa wa Dar es salaam

mashindano hayo  yanayosimamiwa na chama cha ngumi za ridhaa mkoa wa Dar es salaam yamekuwa yakiendelea kusuasua kila siku kutokana na maandalizi duni hivyo kuomba makampuni pamoja na taasisi binafsi kusaidia uongozi wa mkoa wa Dar es salaam kuendesha mashindano mbalimbali yanayoenderea

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...