Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Saturday, September 20, 2014

IBRAHIMU CLASS 'KING CLASS MAWE' AKIZIPIGA NA YUSUPH MNYETO KATIKA KAMBI YA ILALA AMANA Bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' akioneshana umwamba na Yusuph Mnyeto wakati wa mazoezi yanayo endelea katika kambi ya Ilala Amana CCM Dar es salaam jana picha picha na SUPER D BLOG
 Bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' akioneshana umwamba na Yusuph Mnyeto wakati wa mazoezi yanayo endelea katika kambi ya Ilala Amana CCM Dar es salaam jana picha picha na SUPER D BLOG
 Bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' akioneshana umwamba na Yusuph Mnyeto wakati wa mazoezi yanayo endelea katika kambi ya Ilala Amana CCM Dar es salaam jana picha picha na SUPER D BLOG
Bondia Yusuph Mnyeto kushoto akitunishiana misuli na Ibrahimu Class ' King Class Mawe' baada ya kumaliza kupigana katika mazoezi yanayoendelea kwenye kambi ya Ilala Dar es salaam jana
picha picha na SUPER D BLOG
Bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' katikati akijazwa katika fomu uku akiulizwa maswali mbalimbali kuhusu upimaji VVU UKIMWI wakati wa kuamasisha wakazi wa magomeni kagera kupima kwa hiali jana


Bondia Ibrahimu Class' King Class Mawe' baada ya kupima vvu ukimwi wakati wa kuamasisha wakazi wa magomeni kagera kupima afya zao jana

Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' katikati akiwa na bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' kulia na Mikidadi Boika  wakati wa kampeni ya kupima vvu ukimwi iliyokuwa ikifanyika magomeni kagera Dar es salaam jana Super D na king class walipima kwa ajili ya kuamasisha wakazi wa kagera kutambua afya zao picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...