Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Saturday, September 6, 2014

MKUU WA WILAYA YA TEMEKE AKABIDHI MASHINE ZA KUFYATULIA MATOFALI ZILIZOTOLEWA NA (NHC)KWA VIKUNDI VYA VIJANA5Mkuu wa wilaya ya Temeke Bi. Sophia Mjema akikabidhi mashine ya kufyatulia matofali mwenyekiti wa kikundi cha Mbagala Youth Group Said Mponda baada ya kuzipokea kutoka kwa Shirika la Nyumba la Taifa NHC ambalo limetoa mashine kwa vikundi hivyo ili kusaidia serikali katika kupambana na tatizo la ajira nchini kwa vijana mashine hizo zilikabidhiwa kwa mkuu wa wilaya na Meneja wa Shirika la Nyumba la Taifa NHC tawi la Temeke Bw. Wencenslaus Tillya. (PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-DAR ES SALAAM)
3Mkuu wa Wilaya ya Temeke Bi. Sophia Mjema akipokea mashine za kufyatulia matofali kutoka kwa Meneja wa Shirika la Nyumba la Taifa NHC Wilaya ya Temeke Bw. Wencenslaus Tillya ambazo zilikabidhiwa kwa vikundi vya vijana wilayani humo.
4Mkuu wa Wilaya ya Temeke Bi. Sophia Mjema akikabidhi mashine kwa mwenyekiti wa kikundi cha Sokoine Youth Development William Gabriel.
6Mkuu wa wilaya ya Temeke Bi. Sophia Mjema akikabidhi mashine ya kufyatulia matofali mwenyekiti wa kikundi cha Chang'ombe Youth Development Eunice Mlwale baada ya kuzipokea kutoka kwa Shirika la Nyumba la Taifa NHC 8Mkuu wa wilaya ya Temeke Bi. Sophia Mjema akikabidhi mashine ya kufyatulia matofali mwenyekiti wa kikundi cha Chapakazi Youth Youth Nathanaeli Daniel Kidaila baada ya kuzipokea kutoka kwa Shirika la Nyumba la Taifa NHC 9Mkuu wa wilaya ya Temeke Bi. Sophia Mjema akiwa katika picha ya pamoja na vikundi hivyo mara baada ya kukabidhi mashine za kufyatulia matofali kwa vikundi vya vijana vya Temeke ambazo zimetolewa na Shirika la Nyumba la Taifa NHC Kulia kwa Mkuu wa Wilaya ni Wencenslaus Tillya Meneja wa NHC Temeke na kulia kwake ni Kaimu Mkurugenzi wa Manispaa ya Temeke Bw. John Bwana. 10Mkuu wa wilaya ya Temeke Bi. Sophia Mjema akipiga picha ya pamoja na wafanyakazi wa Shirika la Nyumba NHC na baadhi ya maofisa wa Manispaa ya Temeke. 11Baadhi ya waandishi wa habari na vijana waliojitokeza katika makabidhiano hayo wakiwa katika hafla hiyo12Baadhi ya mashine za kufyatulia matofali zilizokabidhiwa kwa vikundi hivyo.13Mkuu wa wilaya ya Temeke Bi. Sophia Mjema akimzikiliza Kaimu Mkurugenzi wa Manispaa ya Temeke Bw. John Bwana wakati alipokuwa akitoa shukurani zake kwa shirika la Nyumba NHC kwa kutoa mashine hizo, wa pili kutoka kulia ni Wencenslaus Tillya Meneja wa NHC wilaya ya Temeke.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...