Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Thursday, September 25, 2014

WANAFUNZI WA SHULE YA NYEMBULU WAHITIMU NA KUFANYA MAHAFALI YA PILI YA SHULE HIYO

 Kamanda wa Umoja wa Vijana UVCCM mtaa wa nyembulu kata ya majohe  Hamisi Gea katikati akiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi wa shule ya msingi nyembulu wakati wa mahafali ya pili ya shule hiyo mwishoni mwa wiki iliyopita Gea alikuwa mgeni rasmi katika mahafali hayo ya pili
Baadhi ya wanafunzi wa darasa la saba waliohitimu shule ya msingi Nyembuli wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa mahafali ya pili ya shule hiyo ambapo mgeni rasmi alikuwa Kamanda wa Umoja wa Vijana UVCCM mtaa wa nyembulu kata ya majohe  Hamisi Gea

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...