Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Sunday, September 14, 2014

NGUMI ZILIVYOPIGWA MOSHI SIKU YA IJUMAA

Bondia Elick Mwenda kushoto wa Malawi akikwepa ngumi  wakati wa mpambano wake na bondia Allybaba Ramadhani   uliofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita Allybaba alishinda kwa pointi mpambano huo Picha na SUPERD BLOG
Bondia Raymond Mbwago kushoto akipambana na Iddi Pialali wakati wa mpambano wao uliofanyika Moshi katika ukumbi wa YMCA Hall Pialali alishinda kwa K,O ya raundi ya Nne picha na SUPERD BLOG
Allybaba Ramadhani
Bondia Raymond Mbwago kushoto akipambana na Iddi Pialali wakati wa mpambano wao uliofanyika Moshi katika ukumbi wa YMCA Hall Pialali alishinda kwa K,O ya raundi ya Nne picha na SUPERD BLOG
Bondia Shomari Milundi kushoto akipambana na Saimoni Zabron wakati wa mpambano wao uliofanyika Moshi mpambano huo walitoka Droo ya kufungana point picha na SUPERD BLOG

Bondia Said Yazidu kushoto akipigwa ngumi na Djamal Dahou wa Algelia Dahou alishinda kwa K,O ya raundi ya kwanza ya mpambano huo picha na SUPERD BLOG

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...