Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Monday, September 15, 2014

MATOKEO YA UCHAGUZI MKUU WA CHADEMA TAIFA 2014:FREEMAN MBOWE ASHINDA NAFASI YA MWENYEKITI CHADEMA TAIFA, PROFESA ABDALLAH SAFARI MAKAMU MWENYEKITI WA CHADEMA BARA


 Sehemu ya Wajumbe wa Mkutano  mkuu wa chadema Wakicheza kwa furaha muda mfupi baada ya matokeo ya Uchaguzi kwenye Mkutano Mkuu Kutangazwa Usiku huu
 Freeman Mbowe akiwashukuru wajumbe wa mkutano mkuu wa CHADEMA  kwa kumchagua tena kushika nafasi ya mwenyekiti
 Mshindi wa nafasi ya mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe akipongezwa na Katibu Mkuu wa Chadema Dr Wilbrod Slaa
 Makamu  Mwenyekiti wa Chadema Bara Profesa Abdallah Safari(Kulia)na Mwenyekiti wa Chadema Taifa Freeman Mbowe wakipungia kwa furaha muda mfupi baada ya kushinda  usiku huu
 Muasisi wa Chadema Mzee Edwin Mtei akimpongeza Profesa Abadallah Safari baada ya kushinda nafasi ya Makamu wa Mwenyekiti wa Chadema Bara.Picha na Habari na CHADEMA
---
 MATOKEO YA UCHAGUZI 

*MWENYEKITI 
Mh Freeman Mbowe amepata kura 789
Mh Ester Matiko amepata kura 20

*MAKAMU BARA
Prof Abdallah Safari amepata kura 775
Hakuwa na Mpinzani

*MAKAMU ZANZIBAR
Mh Said Issa Mohamed amepata kura 645
Mh Hamad  Yusuph amepata kura 163

 Mhe Freeman Aikael Mbowe Amechaguliwa Tena kuwa mwenyekiti wa Chadema Taifa kwa kupata kura 789 sawa na asilimia 97.3 ya kura zote. Aliyeshinda nafasi ya Makamu mwenyekiti Bara ni Profesa Abdallah Safari kwa kupata kura 775 sawa a asillimia 95 na nafasi ya Makamu mwenyekiti Zanzibar ameshinda Mh Saidi Issa Mohamedi kwa kupata kura 645 sawa na asilimia 79.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...