Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Monday, September 8, 2014

NHC YAPANIA KUENDELEZA MKOA WA RUVUMA Uongozi wa Shirika la Nyumba la Taifa na wa wilaya ya Namtumbo ukitoka nje ya Ofisi ya Mkuu hiyo, baada ya kufanya mazungumzo ya kina ya mpango ya kujenga nyumba za gharama nafuu. PICHA ZOTE NA MUUNGANO SAGUYA WA SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Bw.  Nehemia Mchechu na ujumbe wake wakiwa na Mkuu wa Wilaya ya Namtumbo Bw. Abdulah Lutavi akiwatembeza kwenye eneo lililotengwa na Wilaya hiyo kwa ajili ya kujengewa nyumba na NHC. Shirika la Nyumba litajenga nyumba za gharama nafuu katika halmashauri hiyo hivi karibuni.
 Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Bw.  Nehemia Mchechu, Mkuu wa Wilaya Natumbo, Bw. Abdulah Lutavi na ujumbe wao wakijadiliana kwenye eneo litakalojengwa nyumba za gharama nafuu na Shirika la Nyumba.
 Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Bw.  Nehemia Mchechu na msafara wake wakikagua mradi wa ujenzi wa nyumba za gharama nafuu wa Mkuzo, Songea. Mradi huo una jumla ya nyumba 18.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...