Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Monday, September 22, 2014

MRADI WA NYUMBA ZA DEGE ECO - VILLAGE KUANZA


Ofisa Mkuu wa Masoko wa Hifadhi Builders Limited Bw. Azhar Malik kushoto akimwelekeza mmoja ya wananchi Bw. Allan Maduhu  jinsi ya kujiunga na dege eco village wakati wa maonesho ya bidhaa za nyumbani iliyofanyika jijini Dar es salaam leo
http://degeecovillage.com/apartment-villas.php
Baadhi ya wananchi waliofika kujionea huduma mbalimbali zitolewazo na Dege
Meneja Masoko na Mauzo Msaidizi Bw. Adam Jysab kushoto akiojiwa na waandishi wa habari kuhusu mji mpya wa DEGE ECO - VILLAGE


Ofisa Masoko wa Dege Eco Village Bi, Jacky Norbert kushoto akiwaelekeza watu mbalimbali waliokuja kutembelea mbanda lao jinsi ya kupata nyumba
BAADHI YA WATU WALIOFIKA KATIKA MAONESHO HAYO WAKIPATA MAHELEZO MBALIMBALI

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...