Burudan Mwanzo - Mwisho

Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Wednesday, September 17, 2014

KAMPUNI YA PUMA ENERGY YACHANGIA WIKI YA NENDA KWA USALAMA BARABARANI

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Pereira Ame Silima (katikati) akizungumza na waandishi wa habari baada ya kupokea hundi ya Sh. Milioni 40 kwa ajili ya maandalizi ya Wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani, kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Puma Energy nchini, Philippe Corsaletti (kulia). Wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani inatarajiwa kufanyika wiki ijayo, jijini Arusha. Kushoto ni Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani, Naibu Kamishna, Mohamed Mpinga. Makabidhiano hayo yalifanyika katika ukumbi mdogo wa Wizara hiyo, jijini Dar es Salaam

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Pereira Ame Silima (katikati) akimshukuru Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Puma Energy nchini, Philippe Corsaletti (kulia) baada ya kupokea hundi yenye thamani ya Sh. Milioni 40 msaada uliotolewa kwa ajili ya Wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani inayotarajiwa kufanyika wiki ijayo, jijini Arusha. Kushoto ni Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani nchini, Naibu Kamishna, Mohamed Mpinga. Makabidhiano hayo yalifanyika katika Ukumbi mdogo wa Wizara hiyo, jijini Dar es Salaam leo. Picha na Felix Mwagara, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Pereira Ame Silima (katikati) akizungumza na waandishi wa habari baada ya kupokea hundi ya Sh. Milioni 40 kwa ajili ya maandalizi ya Wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani, kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Puma Energy nchini, Philippe Corsaletti (kulia). Wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani inatarajiwa kufanyika wiki ijayo, jijini Arusha. Kushoto ni Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani, Naibu Kamishna, Mohamed Mpinga. Makabidhiano hayo yalifanyika katika ukumbi mdogo wa Wizara hiyo, jijini Dar es Salaam leo. 
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Pereira Ame Silima (katikati) akizungumza na waandishi wa habari baada ya kupokea hundi ya Sh. Milioni 40 kwa ajili ya maandalizi ya Wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani, kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Puma Energy nchini, Philippe Corsaletti (kulia). Wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani inatarajiwa kufanyika wiki ijayo, jijini Arusha. Kushoto ni Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani, Naibu Kamishna, Mohamed Mpinga. Makabidhiano hayo yalifanyika katika ukumbi mdogo wa Wizara hiyo, jijini Dar es Salaam leo. Picha zote na Felix Mwagara, Wizara yaMambo ya Ndani ya Nchi.
Posted by Super D (Mnyamwezi) at 11:23 PM

No comments:

Post a Comment

Newer Post Older Post Home
Subscribe to: Post Comments (Atom)
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

About Me

About Me
Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times, SPECIALIST IN VIDEO & STILL PICTURE ALL EVENT AND PRESS CORDINATOR Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.burudan.blogspot.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

SUPER D BOXING COACH

SUPER D BOXING COACH
Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kushoto akiwa na Bondia bingwa wa Dunia wa Uzito wa Juu Zamani, Francois Botha 'White Buffalo' wakati wa mpambano wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi

TANGAZO LA MIZANI YA KILA AINA KUTOKA Sahel Trading Co. Ltd

TANGAZO LA MIZANI YA KILA AINA KUTOKA Sahel Trading Co. Ltd
Sahel Trading Co. Ltd Morogoro Road, Opp. International Commercial Bank, P. O. Box 10967 Dar es Salaam, Tanzania TeleFax: +255 22 2120886 Email: info@mizani.co.tz

DVD ZA SUPER D BOXING COACH KUINGIA SOKONI

DVD ZA  SUPER D BOXING COACH KUINGIA SOKONI
DVD ZA MAFUNZO YA MCHEZO WA NGUMI ZIPO MTAANI KWA AJILI YA MAFUNZO YA MCHEZO HUO HIVI SASA KWA MATAJI YA JUMLA NA REJAREJA PIGA SIMU 0754/0713-406938 AU FIKA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI

Followers

BLOG ZINGINE

  • BONGOWEEKEND
    UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO
    12 hours ago
  • HABARI NA MATUKIO
    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amkaribisha Rais wa Jamhuri ya Namibia Mhe. Netumbo Nandi-Ndaitwah, Ikulu Jijini Dar es Salaam
    15 hours ago
  • KAMANDA WA MATUKIO
    MWANYIKA ANENA MAKUBWA AKIWASILISHA TAARIFA YA KAMATI KUHUSU BAJETI YA WIZARA YA KILIMO
    16 hours ago
  • SUFIANIMAFOTO
    TUWAPE FARAJA FAMILIA ZENYE WATOTO WENYE USONJI, TUSIWATENGE -JACKLINE MJEMA
    2 weeks ago
  • LUKAZA
    KUUNDWA KWA JAB NI HATUA YA KUIMARISHA NA KUBORESHA SEKTA YA HABARI - MAJALIWA
    3 weeks ago
  • LENZI YA MICHEZO
    Timu ya Simba Sc Kesho Kuvaana na Al Masry, Kocha Azungumza
    1 month ago
  • Viwanjani (nini kimejiri leo Maximo?)
    SUPER D AMUANDAA SUNDAY KIWALE KWA USHINDI WA K,O JANUARY 31 TANGA ATAKAPOZIPIGA NA YOHANA MCHANJA
    5 years ago
  • SuperD Boxing Coach
    SUPER D AMUANDAA SUNDAY KIWALE KWA USHINDI WA K,O JANUARY 31 TANGA ATAKAPOZIPIGA NA YOHANA MCHANJA
    5 years ago
  • MWENDA BLOG
    JUMA CHOKI AJIANDAA NA MASHINDANO YA KING OF THE RING JULAI 28
    5 years ago
  • MRISHO'S BLOG
    MAKAMU WA RAIS MAMA SAMIA SULUHU AIPONGEZA HOSPITALI YA MAMC-MLOGANZILA KWA KUENDELEA KUTOA HUDUMA BORA
    6 years ago
  • Daily Mitikasi Blog
    Itazame Simulizi mpya iliyopewa jina la ‘Kinyago’
    6 years ago
  • SDM PRODUCTION MEDIA
    KILIMO CHA MATUNDA RUAHA MBUYUNI-IRINGA
    6 years ago
  • MTOTO WA KITAA
    RAIS JOHN MAGUFULI AKUTANA NA RAIS WA JCA NA BALOZI WA JAPAN IKULU JIJINI DAR ES SALAAM
    7 years ago
  • UNIQUE ENTERTAINMENT
    BRAND NEW SONG: METTY ft DAYNA NYANGE & NAPPY - YOUR LOVE
    8 years ago
  • PR Promotion
    JANET MBENE AKABIDHI MIFUKO 50 YA SARUJI SEKONDARI YA ILEJE
    8 years ago
  • MATEJA 20
    SIMBA SC. YAWEKA SOKONI MAJI YAKE!
    8 years ago
  • JANE JOHN
    DISCUSSION ON EU-TANZANIA TRANSFER AGREEMENT WHICH ALLOWS TO TRIAL PIRATES CAPTURED BY EUROPEAN NAVAL FORCES IN TANZANIA COURTS
    11 years ago
  • NYUMBA YA MICHEZO NA BURUDANI
    VUMBI LIGI KUU KUANZA KESHO, YANGA ‘WAZEE WA UTURUKI’ KUWAVAA ASHANTI TAIFA
    11 years ago
  • MACHELLAH 0713 470 492 machellahm@yahoo.com

Blog Archive

  • ►  2021 (7)
    • ►  November (1)
    • ►  October (2)
    • ►  August (3)
    • ►  June (1)
  • ►  2020 (1)
    • ►  January (1)
  • ►  2019 (31)
    • ►  September (5)
    • ►  July (3)
    • ►  June (4)
    • ►  April (13)
    • ►  March (6)
  • ►  2018 (38)
    • ►  December (4)
    • ►  November (3)
    • ►  October (4)
    • ►  September (7)
    • ►  August (5)
    • ►  July (1)
    • ►  May (6)
    • ►  April (4)
    • ►  March (1)
    • ►  February (1)
    • ►  January (2)
  • ►  2017 (29)
    • ►  December (2)
    • ►  November (1)
    • ►  October (2)
    • ►  September (3)
    • ►  August (7)
    • ►  July (4)
    • ►  June (1)
    • ►  January (9)
  • ►  2016 (179)
    • ►  December (5)
    • ►  November (1)
    • ►  October (7)
    • ►  September (5)
    • ►  August (16)
    • ►  July (33)
    • ►  June (17)
    • ►  May (14)
    • ►  April (18)
    • ►  March (25)
    • ►  February (23)
    • ►  January (15)
  • ►  2015 (176)
    • ►  December (19)
    • ►  November (17)
    • ►  October (12)
    • ►  September (6)
    • ►  August (16)
    • ►  July (8)
    • ►  June (14)
    • ►  May (8)
    • ►  April (5)
    • ►  March (18)
    • ►  February (6)
    • ►  January (47)
  • ▼  2014 (1389)
    • ►  December (64)
    • ►  November (70)
    • ►  October (96)
    • ▼  September (93)
      • SMILEON KUWEZESHA WATEJA WAKE KUWA HEWANI MTANDAON...
      • WAJUMBE WA TUME YA UTUMISHI WA UMMA WAAPISHWA LEO ...
      • MATUKIO KATIKA PICHA BUNGE MAALUM LA KATIBA
      • TAASISI YA VYOMBO VYA HABARI KUSINI MWA AFRIKA(MIS...
      • SMILEON KUWEZESHA WATEJA WAKE KUWA HEWANI MTANDAON...
      • Bondia wa Kike mwafrika Bintou Schmill Bingwa mpya...
      • BOXING FEATURE: KUELEKEA PAMBANO LA ALIBABA DHIDI ...
      • Mh. Lowassa amkaribisha Monduli Balozi wa Japan nc...
      • Mke wa Waziri Mkuu achangisha Milioni 128 kwa ajil...
      • NASSIBU RAMADHANI ADROO NA MOHAMED MATUMLA
      • SIMBA YATOSHANA NGUVU YA KUFUNGANA BAO 1-1 NA POLI...
      • MASHINDANO YA SKAUTI NGAZI YA TAIFA YAFUNGWA RASMI...
      • MABONDIA WAPIMA UZITO KUPIGANA JUMAMOSI SEPTEMBE 2...
      • Brand New Song
      • WANAFUNZI WA SHULE YA NYEMBULU WAHITIMU NA KUFANYA...
      • Mama Mkwe wa Jennifer Mgendi huyooo Mtaani
      • MAKONGORO AIPA CHANGAMOTO TaSUBA
      • ENZOY DAWA YA NGUVU YA KIUME INARETA HESHIMA
      • Kajala kuzindua Mbwa Mwitu kesho Mlimani City
      • PSPF kudhamini Siku ya Msanii Tanzania kwa Sh Mil 10
      • MGM Grand ilivyotokea kuwa makao makuu ya ndondi
      • MRADI WA NYUMBA WA DEGE ECO-VILLAGE WAANZA
      • MRADI WA NYUMBA ZA DEGE ECO - VILLAGE KUANZA
      • MRADI WA NYUMA ZA DEGE ECO - VILLAGE KUANZA
      • Simba yatoka sare ya 2-2 na Coast union Uwanja wa ...
      • Makamu wa Rais Dkt. Bilal azindua kituo cha Afya c...
      • MASHINDANO YA NGUMI YA KUMI BORA YAENDELEA KUSHIKA...
      • MRADI WA NYUMA ZA DEGE ECO - VILLAGE KUANZA
      • IBRAHIMU CLASS 'KING CLASS MAWE' AKIZIPIGA NA YUSU...
      • MISS TANZANIA WATEMBELEA HIFADHI YA TAIFA YA MLIMA...
      • KAMPUNI YA VIFAA VYA KIELEKTRONIKI SAMSUNG YALENGA...
      • FREEMAN MBOWE ARIPOTI MAKAO MAKUU YA JESHI LA POLI...
      • WAREMBO WA SHINDANO LA MISS TANZANIA 2014 WATEMBEL...
      • TAMASHA LA UTALII NA MIAKA 4 YA BLOG YA VIJIMAMBO
      • MAOFISA WA TBL WAKAGUA MIRADI YA WANANCHI YA ACE A...
      • MABANGO YA KUELIMISHA UKIMWI YAZINDULIWA
      • KAMPUNI YA PUMA ENERGY YACHANGIA WIKI YA NENDA KWA...
      • FILAMU KUTOKA PROIN PROMOTIONS LIMITED ZAFANIKIWA ...
      • CHADEMA WATANGAZA KUMSINDIKIZA MBOWE KESHO HADI MA...
      • MKUTANO WA 29 WA BARAZA LA MAWAZIRI WA NCHI WANACH...
      • MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA MKUTANO WA MASHA...
      • ASKARI WA TATU WAJERUHIWA NA MLIPUKO WA BOMU SONGEA
      • RAIS KIKWETE AWASILI MAREKANI KUHUDHURIA MKUTANO W...
      • KAMPUNI YA PUMA ENERGY YACHANGIA WIKI YA NENDA KWA...
      • DVD MPYA KUTOKA SUPER D BOXING COACH AND PROMOTION...
      • Sikinde sasa kuzindua Jinamizi lao Oktoba
      • YANGA KUANZA KUJINOA KESHO TAYARI KWA KUIVAA MTIBW...
      • MATOKEO YA UCHAGUZI MKUU WA CHADEMA TAIFA 2014:FRE...
      • WAKAZI WA TABORA WALIPOKEA VYEMA TAMASHA LA FIESTA...
      • WAREMBO MISS TANZANIA WAJIFUA GYM KUIWEKA MIILI YA...
      • WASANII NYOTA NA WATU MAARUFU KUOSHA MAGARI SEPTEM...
      • NGUMI ZILIVYOPIGWA MOSHI SIKU YA IJUMAA
      • KINANA AWAHUTUBIA WAKAZI WA KIMANZICHANA
      • FLOY MAYWEATHER ALIVYO MGALAGAZA MARCOS MAIDANA KW...
      • PINDA AONGOZA KIKAO CHA KUTATUA MGOGORO WA KIWANDA...
      • WAREMBO MISS TANZANIA 2014 WAWASILI KAMBINI, KANDA...
      • Makamu wa Rais Dkt. Mohammed Gharib Bilalawaaga Ma...
      • BONDIA WA KIKE LULU KAYAGE AMCHIMBIA MKWALA FATUMA...
      • Tamasha la Handeni Kwetu lapania rekodi mpya
      • Stars bado nyanya kwa Burundi yapigwa 2-0
      • Huyu ndiye Afisa Habari Mpya wa Yanga
      • NHC YAPANIA KUENDELEZA MKOA WA RUVUMA
      • BENKI KUU YA TANZANIA IMETOA TOLEO JIPYA LA SARAFU...
      • MBUNGE WA JIMBO LA NZEGA DR.KHAMIS KINGWANGALLAH A...
      • HULEEE! BREAKING NEWZZZZZZZZ! MKATABA WA YANGA, OK...
      • WAGOSI WA KAYA WAISHIKISHA ADABU POLISI MORO, WAIT...
      • MASHINDANO YA KUMI BORA NGUMI ZA RIDHAA MKOA WA DA...
      • SIMBA YAITUNGUA GOR MAHIA BAO 3-0 UWANJA WA TAIFA ...
      • RAIS KIKWETE ATUNUKU NISHANI ZA MIAKA 50 YA JWTZ
      • MAMA SALMA KIKWETE KATIKA CHAKULA CHA JIONI CHA KA...
      • JULIAUS KISALAWE AMPIGA BONANS SAMWELI KWA POINTI ...
      • Walawala CUP kuwasha moto Muheza
      • Coastal Union kutambulisha wapya Coastal Day
      • Uhaba wa walimu Elimu ya Dini tatizo kubwa nchini-IEP
      • MKUU WA WILAYA YA TEMEKE AKABIDHI MASHINE ZA KUFYA...
      • DVD MPYA KUTOKA SUPER D BOXING COACH AND PROMOTION
      • Hatari! Kim Kardashian akubali kuvua nguo kupamba ...
      • Ngumi! Said Yazidu, Mualgeria kuzipiga YMCA-Moshi
      • MABONDIA WATAMBIANA KUZIDUNDA SEPTEMBER 27 FRIENDS...
      • BONDIA MAARUFU WA KIKE BINTOU YAWA SCHMILL "THE VO...
      • MCHEMBA ATEMBELEA WANANCHI WAKE JIMBONI KUSIKILIZA...
      • MWANAAFA MWINZAGO ATEMBELEA OFISI ZA GLOBAL PUBLIS...
      • RAIS KIKWETE AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA BARABA...
      • TANGAZO LA DAWA YENYE NGUVU ENZOY
      • NGUMI KUPIGWA YMCA HALL MOSHI SEPTEMBA 12
      • SHIRIKA LA NYUMBA TANZANIA (NHC) LAKARABATI SHULE ...
      • MASHINDANO YA NGUMI 10 MKOA WA DAR ES SALAAM KUEND...
      • AZAM FC YAPATA UDHAMINI WA BENKI YA NMB
      • MWENYEKITI WA CHADEMA MOROGORO ATETEA KITI CHAKE K...
      • JESHI LA POLISI LATOA ONYO KALI KWA WANAOTUMIAJI V...
      • UWANJA WA MKWAKWANI TANGA KUWAKA MOTO OKTOBA 5 MIY...
      • Watanzania washauriwa kuwekeza kwa kuwajali watoto
      • RAIS KIKWETE ATEMBELEA WILAYA YA CHAMWINO KATIKA Z...
    • ►  August (102)
    • ►  July (132)
    • ►  June (140)
    • ►  May (127)
    • ►  April (131)
    • ►  March (149)
    • ►  February (158)
    • ►  January (127)
  • ►  2013 (2071)
    • ►  December (139)
    • ►  November (144)
    • ►  October (204)
    • ►  September (186)
    • ►  August (169)
    • ►  July (166)
    • ►  June (173)
    • ►  May (127)
    • ►  April (181)
    • ►  March (189)
    • ►  February (174)
    • ►  January (219)
  • ►  2012 (2762)
    • ►  December (212)
    • ►  November (168)
    • ►  October (240)
    • ►  September (240)
    • ►  August (337)
    • ►  July (360)
    • ►  June (344)
    • ►  May (262)
    • ►  April (159)
    • ►  March (178)
    • ►  February (157)
    • ►  January (105)
  • ►  2011 (1237)
    • ►  December (132)
    • ►  November (137)
    • ►  October (111)
    • ►  September (135)
    • ►  August (160)
    • ►  July (87)
    • ►  June (74)
    • ►  May (93)
    • ►  April (105)
    • ►  March (66)
    • ►  February (59)
    • ►  January (78)
  • ►  2010 (935)
    • ►  December (56)
    • ►  November (87)
    • ►  October (152)
    • ►  September (120)
    • ►  August (134)
    • ►  July (112)
    • ►  June (161)
    • ►  May (113)

Wadau Tuchat hapa


Live Blogging Platform
  Dar Es Salaam Time

waliotembelea

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania
  Dar Es Salaam Time

DVD ZA SUPER D BOXING COACH ZILIZOPO SOKONI

DVD ZA SUPER D BOXING COACH ZILIZOPO SOKONI
DVD ZA MAFUNZO YA MCHEZO WA NGUMI ZIPO MTAANI KWA AJILI YA MAFUNZO YA MCHEZO HUO HIVI SASA KWA MATAJI YA JUMLA NA REJAREJA PIGA SIMU 0787/0774/0715/0754/0733/0713-406938 AU FIKA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI 0652755838
Travel theme. Theme images by Airyelf. Powered by Blogger.

TANGAZO LA DAWA YENYE NGUVU

TANGAZO LA DAWA YENYE NGUVU
DAWA YA NGUVU ZA KIUME NA MSISIMKO KWA WANAWAKE WASIO NA HAMU YA TENDO LA NDOA AMBAYO HULETA MSISIMKO KWA WANAUME NA WAKE WAKUTANAPO.KWA SASA INAPATIKANA KWA BEI NAFUU HAPA JIJINI DAR ES SALAAM MAKUTANO YA MTAA WA KIPATA NA BARABARA YA MSIMBAZI KWA ROZANA PIGA SIMU,0755875884,MALAPA,0754420621,KARIAKOO,0652755838,0713827689,0715110900 KWA MAELEZO ZAIDI TEMBELEA http://enzoy.org/index.php?lang=EN