Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Friday, September 5, 2014

MCHEMBA ATEMBELEA WANANCHI WAKE JIMBONI KUSIKILIZA KERO NA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO


 
Licha ya majukumu mbalimbali yanayowakabili viongozi wetu wakuu wa nchi lakini kuwatembelea wapiga kura wao na kujua yanayowakabili ni jambo muhimu sana ambalo mbali na kuwapa faraja wananchi hao wa eneo husika lakini inaleta matumiani kuwa kiongozi wao yupo na anawajibika.
Mara kwa mara baadhi ya wabunge hudhani kuwa bila ya kuwa na kitu huwezi enda Jimboni labda hadi uwe na mifuko ya saruji, bati au jezi na mipira ya kuwagawia wapiga kura wake.
Jana  Naibu Waziri wa Fedha, na Mbunge wa Iramba Magharibi, Mwigulu Mchemba alitembelea Jimboni kwake ili kufuatilia Utekelezaji wa miradi ya Maendeleo na Kusikiliza Maoni,Matatizo na Maombi ya Wananchi.
kundi la burudani likitumbuiza.
Mbunge akipokea zawadi mbalimbali na kuzipa baraka.
Michango ya kijamii ilifanyika kwaajili ya maendeleo.
Mwigulu akiwaaga wapiga kura wake.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...