Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Tuesday, July 2, 2013

GAPCO TANZANIA YATINGA JIJI LA ARUSHA KWA AJILI YA PROMOSHENI YAKE


Wasanii wa  JCB Dominion wakitoa burudani wakati wa promosheni ya Gapco Relstar Oil inanayotengenezwa na Kampuni ya Gapco T LTD Eneo la Mbaunda Kona Mkoa wa Arusha kutoka kushoto ni 
Jafari Halawi
Halima Masoud na 
Omar Salimu
picha na www.burudan.blogspot.com
Wasanii wa  JCB Dominion
kushoto ni Halima Masoud na Jafari Halawi
wakitoa burudani wakati wa promosheni ya Gapco Relstar Oil inanayotengenezwa na Kampuni ya Gapco T LTD Eneo la Kijengo juu mkoa wa Arusha   picha na BLOG YA SUPER D

Msanii wa  JCB Dominion akitoa burudani wakati wa promosheni ya Gapco Relstar Oil inanayotengenezwa na Kampuni ya Gapco T LTD Eneo la Ngarenalo mkoa wa Arusha  Halima Masoud  picha na BLOG YA SUPER D

Burudani zikienderea kutolewa

Ni Full Burudani kwa kwenda mbele
Hapo sasa

Twendee

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...