Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Monday, July 1, 2013

GAPCO TANZANIA YATINGA MOSHI KWA AJILI YA PROMOSHENI YAKE

Msanii wa  JCB Dominion akitoa burudani wakati wa promosheni ya Gapco Relstar Oil inanayotengenezwa na Kampuni ya Gapco T LTD Eneo la kyusya mkoa wa Moshi   Halima Masoud  picha na BLOG YA SUPER D

Mwakilishi wa Kampuni ya Gapco Tanzania LTD Lightnes Samwel kushoto akimkabidhi zawadi kwa mteja alienunua bizaa ya Gapco Rels star Oil wakati wa Promosheni inayoendelea Alex Msanga katikati ni mwakilishi mwingine wa Kampuni hiyo Atanas Jumbe picha na BLOG YA SUPER D
Wasanii wa  JCB Dominion wakitoa burudani wakati wa promosheni ya Gapco Relstar Oil inanayotengenezwa na Kampuni ya Gapco T LTD Eneo la kyusya mkoa wa Moshi  kushoto ni Halima Masoud na Jafari Halawi picha na BLOG YA SUPER D

Msanii wa  JCB Dominion
Halima Masoud  akipagawisha wakazi wa Moshi wakati wa
promosheni ya Gapco Relstar Oil inanayotengenezwa na Kampuni ya Gapco T LTD Eneo la kyusya mkoa wa Moshi    picha na BLOG YA SUPER D

MC SALAMA AKIZUNGUMZA

MA MC WAKIZUNGUMZA NA MMOJA WA WATEJA
Wasanii wa  JCB Dominion wakitoa burudani wakati wa promosheni ya Gapco Relstar Oil inanayotengenezwa na Kampuni ya Gapco T LTD Eneo la kyusya mkoa wa Moshi  kushoto ni Halima Masoud na Jafari Halawi picha na BLOG YA SUPER D

Wasanii wa  JCB Dominion wakitoa burudani wakati wa promosheni ya Gapco Relstar Oil inanayotengenezwa na Kampuni ya Gapco T LTD Eneo laMawenzi Mkoa wa Moshi  kutoka kushoto ni 
Jafari Halawi
Halima Masoud na 
Omar Salimu
picha na www.burudan.blogspot.com

Wasanii wa  JCB Dominion wakitoa burudani wakati wa promosheni ya Gapco Relstar Oil inanayotengenezwa na Kampuni ya Gapco T LTD Eneo la kyusya mkoa wa Moshi  kushoto ni Halima Masoud na Jafari Halawi picha na BLOG YA SUPER D

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...