Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Wednesday, July 23, 2014

Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam,CP Suleiman Kova akizungumza na waandishi wa habari


Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam,CP Suleiman Kova akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam leo wakati akitoa taarifa ya tukio la kukutwa kwa viunga vya binadamu liliyotokea jana jioni maeneo ya Bonde la Mbweni,Mpiji. 
 Moja ya kichwa cha Binadamu ambacho kimetolewa katika moja ya Mifuko hiyo
 
Sehemu ya waandishi wa habari waliohudhulia Mkutano huo wa Kamanda Kova.BOFYA INGIA HAPA KUONA TUKIO HILO.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...