Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Monday, July 21, 2014

TIMBER LAND JOGGING AND SPORTS CLUB YOMBO KILAKALA WAFUTURISHA NA KUTOA VYAKULA KWA WATOTO YATIMATIMBER LAND JOGING AND SPORTS CLUB YOMBO KILAKALA
Baadhi ya wtoto wakifuturu wakati wa futari iliyoandaliwa na klub ya jogging ya timber land iliyopo yombo kilakala
Baadhi ya kina mama na watoto nao wakipata futari
BAADHI YA WANACHAMA WANAWAKE WA KLUB YA TIMBER LAND YA YOMBO KILAKALA WAKIPATA FUTARI YA PAMOJA
Mlezi wa klabu ya Timber land sports club ya yombo kilakala ,bi

Carren-Flora Mgonja wa pili kushoto akiwa na baadhi ya wanachama mara baada ya kumaliza futari

Mlezi wa klabu ya Timber land sports club ya yombo kilakala ,bi

Carren-Flora Mgonja  akizungumza wakati wa futari hiyo

Makamu Mwenyekiti wa Timber Land Chorai JAohn akizungumza
Kanali Mstaafu Iddi Kipinguakitoa nasaha zake


Diwani wa kata ya yombo kilakala bi, Elizabeth Magwaja akiongea

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...