Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Sunday, July 20, 2014

TIMBER LAND JOGGING AND SPORTS CLUB YOMBO KILAKALA WAFUTURISHA NA KUTOA VYAKULA KWA WATOTO YATIMA


TIMBER LAND JOGING AND SPORTS CLUB YOMBO KILAKALA
Baadhi ya wtoto wakifuturu wakati wa futari iliyoandaliwa na klub ya jogging ya timber land iliyopo yombo kilakala
Baadhi ya kina mama na watoto nao wakipata futari
BAADHI YA WANACHAMA WANAWAKE WA KLUB YA TIMBER LAND YA YOMBO KILAKALA WAKIPATA FUTARI YA PAMOJA
Mlezi wa klabu ya Timber land sports club ya yombo kilakala ,bi

Carren-Flora Mgonja wa pili kushoto akiwa na baadhi ya wanachama mara baada ya kumaliza futari

Mlezi wa klabu ya Timber land sports club ya yombo kilakala ,bi

Carren-Flora Mgonja  akizungumza wakati wa futari hiyo

Makamu Mwenyekiti wa Timber Land Chorai JAohn akizungumza
Kanali Mstaafu Iddi Kipinguakitoa nasaha zake


Diwani wa kata ya yombo kilakala bi, Elizabeth Magwaja akiongea

Kanali Mstaafu Iddi Kipingu kushoto akimkabidhi cheti
Diwani wa kata ya yombo kilakala bi, Elizabeth Magwaja


picha na Rajabu Mhamila Super D

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...