Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Monday, July 21, 2014

MDAU MICHAEL MACHELLAH AFIWA NA MTOTO WAKE KIPENZI.


NDUGU, Michael Machellah anasikitika kutangaza kifo cha Binti yake, Everlyne Michael Machellah (1)kilichotokea jana Julai 2014 katika Hospitali ya Mwananyamala jijini Dar es Salaam.

Marehemu Alikuwa akisumbuliwa na Malaria pamoja na kuharisha.Mazishi tunatarajia kuyafanya kesho muda na wapi nitawajulisha.

Bwana alitoa na Bwana ametwaa jina la Bwana lihimidiwe milele Amina.

BURUDAN MEDIA  INAPENDA KUTOA POLE KWA FAMILIA NZIMA NA MUNGU AWATIE NGUVU KATIKA KIPINDI HIKI KIGUMU

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...