Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Friday, July 11, 2014

USIKU WA MATUMAINI 2014... MAPINDUZI BAB’KUBWA YA BURUDANI BONGOUnakumbuka Tamasha la Usiku wa Matumaini lilivyotingisha mwaka jana? Basi kwa taarifa yako, mwaka huu wa 2014 linakuja tena kivingine likiwa limesheheni mapinduzi makubwa katika burudani yatakayoacha historia ya kipekee Bongo.
Kwa mujibu wa mratibu wa ishu hiyo, Luqman Maloto, mpango mzima utakuwa ni kwenye Sikukuu ya Nanenane (8/8/2014) katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam ambapo wasanii kibao kutoka Bongo, Afrika Mashariki na sehemu nyingine duniani watamwagika na kufanya yao.
Kivutio kikubwa kwa mujibu wa mratibu huyo, kinatarajiwa kuwa burudani ya nguvu ya muziki kutoka kwa Ali Kiba na…

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...