Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Friday, July 11, 2014

WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AKUTANA NA WATANZANIA WAISHIO READING UINGEREZA


Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na mkewe Tunu (kulia) wakiongozana na Madona Pemba (kushoto), Mtanzania aishie Uingereza kuelekea kwenye ukumbi wa mikutano ili kuzungumza na Watanzania waishio Reading Julai 10, 2014.

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akipokea zawadi ya mipira kutoka kwa Watanzania waishio Reading nchini Uingereza  kabla ya kuzungumza nao Julai  10, 2014. Kushoto ni Mwenyekiti wa…

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...