Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Friday, July 25, 2014

MBUNGE MGIMWA ATUMIA MILIONI 42 KWA MIEZI MIWILI KUTEKELEZA AHADI ZILIZOACHWA NA MAREHEMU BABAKE


 Katibu  wa  mbunge wa  jimbo la Kalenga Bw Martine Simangwa  kushoto akikabidhi sehemu  bati kwa  viongozi wa kijiji  cha Makota kata ya Mseke
katibu  wa  mbunge Mgimwa Bw  Simangwa akizungumza na  wananchi wa kijiji cha Malagosi
Sehemu ya saruji  iliyotolewa na  mbunge Mgimwa
Mbunge Mgimwa wa pili  kulia   kulia akikabidhi msaada wa  Saruji kwa  viongozi wa kata ya Nzihi 
Mbunge Mgimwa akiwa katika  usafiri wa Baiskeli

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...