Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Friday, July 25, 2014

WAHANDISI TANESCO WATEMBELEA KIWANDA CHA SAO HILL KWA MAFUNZO KWA VITENDO JUU UKAGUZI WA UBORA WA NGUZO 
Mhandisi Donart Makingi (Kushoto) kwa niaba ya Meneja wa Usalama kazini akitoa maelekezo kwa wahandisi namna ya kuzingatia usalama katika eneo la kazi ikiwa ni pamoja na kuto kupanda kwenye nguzo, ama kugusa vifaa vya kazi bila kupata muongozo

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...