Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Wednesday, August 18, 2010

JIKOKI YA TIGO YEHENDELEA KUTOA NEEMA KWA WATEJA WAKE


Meneja matangazo wa Tigo,Redemptus Massanja (shoto) akikabidhi mfano wa hundi zenye thamani ya sh. milioni 7 kwa mshindi wa promosheni ya "JIKOKI NA TIGO",Bw. Heronimo Msefya mkazi wa Tegeta katika hafla fupi ya kukabidhi zawadi kwashindi wa promosheni hizo iliyofanyika mchana wa leo kwenye makao makuu ya Tigo.katikati ni Afisa Viwango wa Tigo,David Zacharia.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...