Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Monday, August 9, 2010

ZANTEL WAPATA MSHINDI WA HYUNDAI


ofisa utaswala wa kampuni ya hyundai Bi. Irene Kwimbere kulia akibonyeza kitufe cha kutafuta msindi wa droo kubwa ya zantel iliyofanyika mda mchache usiku uhu na kulushwa live na ITV kushoto ni Meneja Masoko wa Kampuni ya Zantel Bw. William Mpinga na Msimamizi toka bodi ya michezo ya kubahatisha Bw. Mrisho Millao

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...