Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Tuesday, August 17, 2010

UZINDUZI WA SHAHADA ZA UZAMILI (MBA) WAFANYIKA LEO


Paul Byrne wa Coventry University akiereza chuo hicho kilichopo ulaya na sasa kipo Arusha na hivi karibuni kitakuwepo Dar es salaam
Wajumbe wa Bodi ya Chuo Kikuu cha Coventry cha Arusha wakisikiliza mada mbalimbali zilizokuwa zikitolewa wakati wa ufunguzi wa chuo hicho Dar es Salaam jana kutoka kushoto ni Bi, Esterina Kilasi, Bw.Clement Tesha na Dkt.S.Mohamed

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...