Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Sunday, August 15, 2010

JUMA PINTO MWENYEKITI MPYA WA TASWAViongozi wapya wa TASWA ambao watakaa madarakani kwa miaka mitatu katika uongozi wao wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kuchaguliwa katika mkutano mkuu leo kulia ni katibu Amiri Muhando katikati Mwenyekiti Juma Pinto na kushoto ni Maulid Kitenge Makamu Mwenyekiti


Mwenyekiti Mpya wa Taswa Juma Pinto akiwa na mpinzani wake Mpoki Bukuku
waliobwagwa katika kinyanganyiro cha uchaguzi wa TASWA Mpoki Bukuku kulia na Masoud Sanani wakitafakari jambo

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...