Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Friday, August 27, 2010

WALEMAVU WAPEWA SOMO KUUSU UCHAGUZI MKUU WA 2010Baadhi ya watu wenye ulemavu wakisikiliza mada mbalimbali zilizokuwa zikitolewa wakati wa mkutano wa elimu ya mpiga kula kwa walemavu Dar es salaam jana iliyoandaliwa na Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshuulika na mpango wa Maendeleo UNDP kutoka kushoto ni Mwenyekiti SHIVYAWATA Bw.Samwel Onesmo Katibu Bi.Eunice Urasa na Mwenyekiti wa Kamati Taifa ya usalama barabararani kwa watu wente ulemavu Bw.Jutoram Kabatella

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...