Mchezaji wa gofu,Katembo Maftah akijiandaa kupiga mpira wakati wa mashindano ya wazi ya mchezo huo yaliyomalizika Dar es salaam jana. Mashindano hayo yalidhaminiwa na Benki ya KCB Tanzania
Wafanyakazi wa KCBA Tanzania wakiwa katika viwanja wa gofu leo
Mchezaji wa gofu, Munir Ailyissa akijiandaa kupiga mpira wakati wa mashindano ya wazi ya mchezo huo yaliyomalizika Dar es salaam leo. Mashindano hayo yalidhaminiwa na Benki ya KCB Tanzania
Mchezaji wa gofu, Suleiman Kessy akijiandaa kupiga mpira wakati wa mashindano ya wazi ya mchezo huo yaliyomalizika Dar es salaam leo. Mashindano hayo yalidhaminiwa na Benki ya KCB Tanzania
No comments:
Post a Comment