Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Sunday, August 8, 2010

VODACOM FOUNDATION YAKABIDHI MADAWATI 140 SHULE YA SEKONDARI TEMEKE DAR ES SALAAM


Meneja wa Mfuko wa Vodacom, Yessaya Mwakifulefule (Kulia) akimkabidhi Mwalimu Mkuu wa Shule ya Sekondari Temeke, Eutrophia Tarimo, msaada wa madawati 140 yenye thamani ya shilingi milioni 10, msaada huo ni mwendelezo wa msaada wa vyumba vya madarasa vitatu vyenye thamani ya shilingi milioni 70 vilivyokabidhiwa na mfuko huo kwa shule hiyo mwaka jana, , makabidhiano hayo yalifanyika mwishoni mwa wiki.
Meneja wa Mfuko wa Vodacom, Yessaya Mwakifulefule, akizungumza na wanafunzi wa Shule ya Sekondari Temeke, baada ya kuikabidhi shule hiyo msaada wa madawati 140 yenye thamani ya shilingi milioni 10, msaada huo ni mwendelezo wa msaada wa vyumba vya madarasa vitatu vyenye thamani ya shilingi milioni 70 vilivyokabidhiwa na mfuko huo kwa shule hiyo mwaka jana, , makabidhiano hayo yalifanyika mwishoni mwa wiki. http://fullshangwe.blogspot.com/

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...