Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Monday, August 23, 2010

KUMBUKUMBU YA MZEE SULEIMAN KAUBANIKA


Familia ya Halima S. Kaubanika ya Ilala Dar es salaam, wanakumbuka kifo cha baba yao Mzazi Mzee Suleiman M. Kaubanika kilichotokea
24/8/2009 Kigogo Dar es salaam. Sasa ni mwaka mmoja tangu ututoke wake zako, watoto,marafiki zako na majirani wanakukumbuka sana hasa kwa ucheshi na mawazo uliokuwa nayo Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi- Amin

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...