Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Monday, August 23, 2010

ZANTEL YAPUNGUZA BEI VIFURUSHI VYA INTANET


Gari la Zantel la huduma kwa wateja likiwa limeegeshwa mjini tayari kuwahudumia wateja wa intaneti wa Zantel pamoja na kutoa huduma zingine kama kusajili namba za simu.
Vijana wa Zantel wakiwa kwenye pikipiki yenye kasi kuashiria jinsi intaneti ya Zantel ilivyo na kasi wakipita barabara za mji wa Dar es Salaam wakigawa vipeperushi vya vifurushi vipya intaneti.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...