Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Thursday, August 12, 2010

MASOUD SANANI ARUDISHA FOMU


Masoud sanani chief editor wa Sports Starehe akirejesha fomu ya kugombea uenyekiti wa chama cha waandishi wa habari za michezo nchini taswa uchaguzi utakafanyika wikiendi hii anaepokea fomu ni mwandishi wa habari maelezo je Taswa inahitaji nini kwa sasa katika swala zima la kuandika habari za michezo

1 comment:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...